KUNDI LIPI LINAONGOZA KWA UZINZI (UMALAYA)?

Majirani hawa, weka mbali na watoto wako

0 MAONI


Na Godfrey Ismaely

MSICHANA wa miaka 13 amefanyiwa ukatili wa kijinsia baada ya kutekwa kutoka kwa wazazi wake, kubakwa na hatimaye kulazimishwa kuingia katika ndoa.

Tukio hilo ambalo linahusishwa na pande mbili za dini ya Kikiristo na Uislam lilitendeka hivi karibuni katika  mji wa Sikandarpura  nchini Pakistan.

Kwa mujibu wa Taasisi ya The British Pakistani Christian Association ilielezea kuwa, baba mzazi wa msichana huyo mwenye umri wa miaka 47, Shahid Jaan  alielezea binti yake huyo aliyemtaja kwa jina la Sana Bibi alifanyiwa vitendo hivyo na kulazimishwa kuingia katika ndoa.

Aidha, mtu ambaye anatuhumiwa kutenda kosa hilo alitambulika kwa jina la Waheed Akhtar ambaye alikuwa ni ndugu yake wa karibu.

Ripoti ya BPCA inaonesha kuwa, Sana alikuwa na dada yake Hina ambaye walikuwa wameambatana pamoja kuelekea shuleni siku ambayo  anatendewa ukatili huo na Akhtar.

Hata hivyo, mtuhumiwa huyo inadaiwa alimtaka dada wa mtoto huyo kurejea nyumbani huku akimhakikishia kuwa, angeenda na Sana shuleni na kumfikisha salama.

Aidha, inaelezwa kuwa tangu familia yao imjue kijana huyo dada yake hakuwa na hofu pia hakuwaza jambo lolote ambalo lingeweza kumtokea mdogo wake kwani aliaamini kuwa angemfikisha vema shuleni.

Kwa mujibu wa tovuti ya Christian Post, Hina alirejea nyumbani kuelezea familia yao juu ya kile ambacho kilitokea barabarani wakati akimpeleka mdogo wake shule, jambo ambalo lilimfanya Jaan kuwasiliana na polisi mara moja ambao waliendelea na jitihada za kumtafuta binti yao huyo.

Aidha, katika jitihada za kumsaka huku na huko, polisi hawakufanikiwa kumpata Akhtar katika makazi yake na maeneo mbalimbali ya mji huo.

Wakati ukimya ukiwa umetawala huku familia hiyo ikiwa haijui la kufanya baada  ya kutompata binti yao, ndipo baba yao baada ya wiki moja baadaye alipokea simu kutoka kwa mtuhumiwa Akhtar.

"Tayari nimemuoa binti yako, kwa sasa ni Mwislamu rasmi, hivyo lolote unalotaka kufanya unaweza kufanya sasa. Sheria ipo upande wangu kama nilivyo mimi ni Muislamu, lakini wewe ni zaidi ya makafiri," alinukuliwa mtuhumiwa huyo akimtisha baba mzazi wa Sana.

Kwa mujibu wa maelezo ya tovuti hiyo, neno kafiri linawahusu wale wote ambao awali walikuwa Waislamu, lakini baadaye wakaamua kuokoka na kuwa Wakristo.

BPCA inabainisha kuwa, sheria  nchini Pakistan zinaruhusu  binti wenye umri wa miaka 14 kuolewa huku Jaan akithibitisha kuwa binti yake alizaliwa Aprili 17, 2002,  ambapo anadai mwanaye aliolewa kinyume cha sheria.

Mwenyekiti wa BPCA, Wilson Chowdhry anasema, matukio ya utekaji, ubakaji na uoaji wa mabinti wadogo yamekuwa ni endelevu nchini humo, jambo ambalo linahatarisha maisha na usalama wao.

Katika hatua nyingine huu ni wakati mwafaka kwa wazazi hususan Tanzania kuwa makini na watoto wao kwa kuhakikisha wanazingatia usalama wao wawapo nyumbani au shuleni.

Pia ingawa ni changamoto kubwa, wanapaswa kutomwamini kila mtu ambaye anaonesha ukaribu na watoto wao ili kuhakikisha matendo maovu ambayo wanatendewa yanaweza kudhibitiwa hususani ubakaji, utekaji na mengine mengi ambayo yanafanana na hayo.

»

Matokeo ya punde zaidi ya uchaguzi Tanzania

0 MAONI
Huu ni mwendelezo wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania kadiri yanavyopokelewa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania.
Bofya hapa kupata matokeo ya majimbo yaliyotangulia.
Chanzo: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC)
187. Morogoro Mjini, Morogoro
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 450 0.30
Chifu Yemba ADC 302 0.20
John Magufuli CCM 85,440 56.17
Edward Lowassa CHADEMA 65,580 43.12
Hashim Spunda CHAUMA 244 0.16
Janken Kasambala NRA 22 0.01
Macmillan Lyimo TLP 26 0.02
Fahmi Dovutwa UPDP 35 0.02
186. Jimbo la Bukoba Vijijini, Kagera
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 406 0.41
Chifu Yemba ADC 304 0.31
John Magufuli CCM 64,839 65.84
Edward Lowassa CHADEMA 32,346 32.84
Hashim Spunda CHAUMA 458 0.47
Janken Kasambala NRA 50 0.05
Macmillan Lyimo TLP 44 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 36 0.04
185. Jimbo la Mtwara Mjini, Mtwara
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 213 0.38
Chifu Yemba ADC 110 0.19
John Magufuli CCM 25,828 45.58
Edward Lowasa CHADEMA 30,195 53.28
Hashim Spunda CHAUMA 250 0.44
Janken Kasambala NRA 20 0.04
Macmillan Lyimo TLP 34 0.06
Fahmi Dovutwa UPDP 19 0.03
184. Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Morogoro
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 535 1.19
Chifu Yemba ADC 215 0.48
John Magufuli CCM 30,624 68.24
Edward Lowasa CHADEMA 13,304 29.64
Hashim Spunda CHAUMA 133 0.30
Janken Kasambala NRA 16 0.04
Macmillan Lyimo TLP 24 0.05
Fahmi Dovutwa UPDP 29 0.06
183.Jimbo la Muheza,Tanga
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 582 0.75
Chifu Yemba ADC 470 0.61
John Magufuli CCM 53,237 68.77
Edward Lowasa CHADEMA 22,635 29.24
Hashim Spunda CHAUMA 411 0.53
Janken Kasambala NRA 28 0.04
Macmillan Lyimo TLP 30 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 24 0.03
182. Jimbo la Kilwa Kusini, Lindi
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 139 0.33
Chifu Yemba ADC 162 0.39
John Magufuli CCM 18,767 45.07
Edward Lowasa CHADEMA 22,377 53.74
Hashim Spunda CHAUMA 103 0.25
Janken Kasambala NRA 25 0.06
Macmillan Lyimo TLP 21 0.05
Fahmi Dovutwa UPDP 44 0.11
181.Jimbo la Kigamboni, Dar es Salaam
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 238 0.31
Chifu Yemba ADC 77 0.10
John Magufuli CCM 35,735 47.00
Edward Lowasa CHADEMA 39,754 52.28
Hashim Spunda CHAUMA 190 0.25
Janken Kasambala NRA 16 0.02
Macmillan Lyimo TLP 13 0.02
Fahmi Dovutwa UPDP 14 0.02
180. Jimbo la Kibakwe, Dodoma
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 510 1.11
Chifu Yemba ADC 441 0.96
John Magufuli CCM 36,830 80.03
Edward Lowasa CHADEMA 8,018 17.42
Hashim Spunda CHAUMA 124 0.27
Janken Kasambala NRA 43 0.09
Macmillan Lyimo TLP 28 0.06
Fahmi Dovutwa UPDP 27 0.06
179.Jimbo la Ilala, Dar es Salaam
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 184 0.25
Chifu Yemba ADC 189 0.25
John Magufuli CCM 37,329 50.31
Edward Lowasa CHADEMA 36,330 48.96
Hashim Spunda CHAUMA 136 0.18
Janken Kasambala NRA 7 0.01
Macmillan Lyimo TLP 8 0.01
Fahmi Dovutwa UPDP 15 0.02
178. Jimbo la Chemba, Dodoma
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 647 0.87
Chifu Yemba ADC 483 0.65
John Magufuli CCM 51,594 69.70
Edward Lowasa CHADEMA 20,800 28.10
Hashim Spunda CHAUMA 311 0.42
Janken Kasambala NRA 69 0.09
Macmillan Lyimo TLP 57 0.08
Fahmi Dovutwa UPDP 64 0.09
177. Jimbo la Dodoma Mjini, Dodoma
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 749 0.45
Chifu Yemba ADC 307 0.19
John Magufuli CCM 110,634 66.78
Edward Lowasa CHADEMA 53,580 32.34
Hashim Spunda CHAUMA 272 0.16
Janken Kasambala NRA 46 0.03
Macmillan Lyimo TLP 33 0.02
Fahmi Dovutwa UPDP 42 0.03
176. Jimbo la Karagwe, Kagera
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 351 0.34
Chifu Yemba ADC 198 0.19
John Magufuli CCM 62,159 59.43
Edward Lowasa CHADEMA 41,159 39.85
Hashim Spunda CHAUMA 121 0.12
Janken Kasambala NRA 27 0.03
Macmillan Lyimo TLP 51 0.05
Fahmi Dovutwa UPDP 12 0.01
175. Jimbo la Kibiti, Pwani
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 334 0.81
Chifu Yemba ADC 467 1.13
John Magufuli CCM 21,142 51.22
Edward Lowasa CHADEMA 18,629 45.14
Hashim Spunda CHAUMA 432 1.05
Janken Kasambala NRA 103 0.25
Macmillan Lyimo TLP 74 0.18
Fahmi Dovutwa UPDP 92 0.22
174. Jimbo la Kilwa Kaskazini, Lindi
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 231 0.70
Chifu Yemba ADC 233 0.71
John Magufuli CCM 17,553 53.13
Edward Lowasa CHADEMA 14,722 44.56
Hashim Spunda CHAUMA 167 0.51
Janken Kasambala NRA 45 0.14
Macmillan Lyimo TLP 48 0.15
Fahmi Dovutwa UPDP 41 0.12
173. Jimbo la Kwela, Rukwa
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 569 0.68
Chifu Yemba ADC 608 0.78
John Magufuli CCM 49,196 58.75
Edward Lowasa CHADEMA 32,980 39.38
Hashim Spunda CHAUMA 256 0.31
Janken Kasambala NRA 36 0.04
Macmillan Lyimo TLP 61 0.07
Fahmi Dovutwa UPDP 36 0.04
172. Jimbo la Busokelo, Mbeya
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 222 0.70
Chifu Yemba ADC 182 0.57
John Magufuli CCM 18,834 59.05
Edward Lowasa CHADEMA 12,596 39.49
Hashim Spunda CHAUMA 17 0.05
Janken Kasambala NRA 34 0.11
Macmillan Lyimo TLP 11 0.03
Fahmi Dovutwa UPDP - 0.00
171. Jimbo la Songwe, Mbeya
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 193 0.42
Chifu Yemba ADC 226 0.49
John Magufuli CCM 30,778 66.81
Edward Lowasa CHADEMA 14,738 31.99
Hashim Spunda CHAUMA 78 0.17
Janken Kasambala NRA 10 0.02
Macmillan Lyimo TLP 13 0.03
Fahmi Dovutwa UPDP 35 0.08
170. Jimbo la Tabora Mjini, Tabora
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 457 0.55
Chifu Yemba ADC 153 0.18
John Magufuli CCM 52,609 63.05
Edward Lowasa CHADEMA 30,027 35.98
Hashim Spunda CHAUMA 108 0.13
Janken Kasambala NRA 29 0.03
Macmillan Lyimo TLP 21 0.03
Fahmi Dovutwa UPDP 40 0.05
169. Jimbo la Temeke, Dar es Salaam
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 738 0.32
Chifu Yemba ADC 834 0.36
John Magufuli CCM 106,612 45.68
Edward Lowasa CHADEMA 124,276 53.25
Hashim Spunda CHAUMA 613 0.26
Janken Kasambala NRA 195 0.08
Macmillan Lyimo TLP 54 0.02
Fahmi Dovutwa UPDP 43 0.02
168. Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 396 0.25
Chifu Yemba ADC 120 0.08
John Magufuli CCM 71,928 45.84
Edward Lowasa CHADEMA 83,637 53.30
Hashim Spunda CHAUMA 648 0.41
Janken Kasambala NRA 50 0.03
Macmillan Lyimo TLP 70 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 57 0.04
167. Jimbo la Mbarali, Mbeya
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 1,169 1.13
Chifu Yemba ADC 354 0.34
John Magufuli CCM 55,933 54.11
Edward Lowasa CHADEMA 45,374 43.89
Hasim Spunda CHAUMA 343 0.33
Janken Kasambala NRA 107 0.10
Mamillan Lyimo TLP 56 0.05
Fahmi Dovutwa UPDP 36 0.03
166. Jimbo la Segerea, Dar es Salaam
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 582 0.26
Chifu Yemba ADC 666 0.32
John Magufuli CCM 99,168 44.96
Edward Lowassa CHADEMA 119,356 54.11
Hashim Spunda CHAUMA 630 0.29
Janken Kasambala NRA 51 0.02
Machmillan Lyimo TLP 82 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 46 0.02
165. Jimbo la Buchosa, Mwanza
JIna Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 526 0.55
Chifu Yemba ADC 251 0.26
John Magufuli CCM 62,762 65.59
Edward Lowassa CHADEMA 31,660 33.09
Hashim Spunda CHAUMA 172 0.18
Janken Kasambala NRA 43 0.04
Macmillan Lyimo TLP 38 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 240 0.25
164. Jimbo la Hanang, Manyara
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 447 0.46
Chifu Yemba ADC 422 0.44
John Magufuli CCM 63,205 65.36
Edward Lowassa CHADEMA 32,367 33.47
Hashim Spunda CHAUMA 170 0.18
Janken Kasambala NRA 25 0.03
Macmillan Lyimo TLP 39 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 24 0.02
163. Jimbo la Geita Mjini, Geita
JIna Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 228 0.33
Chifu Yemba ADC 99 0.14
John Magufuli CCM 43,576 63.01
Edward Lowassa CHADEMA 25,030 36.19
Hashim Spunda CHAUMA 181 0.26
Janken Kasambala NRA 12 0.02
Macmillan Lyimo TLP 14 0.02
Fahmi Dovutwa UPDP 18 0.03
162. Jimbo la Morogoro Kusini, Morogoro
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 537 1.07
Chifu Yemba ADC 304 0.61
John Magufuli CCM 35,505 70.80
Edward Lowassa CHADEMA 13,586 27.09
Hashim Spunda CHAUMA 142 0.28
Janken Kasambala NRA 30 0.06
Macmillan Lyimo TLP 22 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 24 0.05
161. Jimbo la Rufiji, Pwani
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 236 0.58
Chifu Yemba ADC 349 0.85
John Magufuli CCM 21,714 53.11
Edward Lowassa CHADEMA 18,308 44.78
Hashim Spunda CHAUMA 179 0.44
Janken Kasambala NRA 34 0.08
Macmillan Lyimo TLP 30 0.07
Fahmi Dovutwa UPDP 36 0.09
160. Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 564 0.31
Chifu Yemba ADC 543 0.30
John Magufuli CCM 86,188 47.93
Edward Lowassa CHADEMA 92,145 51.25
Hashim Spunda CHAUMA 269 0.15
Janken Kasambala NRA 42 0.02
Macmillan Lyimo TLP 28 0.02
Fahmi Dovutwa UPDP 27 0.02
159. Jimbo la Bububu, Mjini Magharibi
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 45 0.26
Chifu Yemba ADC 74 0.42
John Magufuli CCM 10,026 56.90
Edward Lowassa CHADEMA 7,332 41.61
Hashim Spunda CHAUMA 83 0.47
Janken Kasambala NRA 31 0.18
Macmillan Lyimo TLP 29 0.16
Fahmi Dovutwa UPDP - 0.00
158. Jimbo la Bariadi, Simiyu
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 618 0.43
Chifu Yemba ADC 254 0.17
John Magufuli CCM 85,813 59.09
Edward Lowassa CHADEMA 57,922 39.89
Hashim Spunda CHAUMA 353 0.24
Janken Kasambala NRA 100 0.07
Macmillan Lyimo TLP 70 0.05
Fahmi Dovutwa UPDP 92 0.06
157. Jimbo la Arumeru Mashariki, Arusha
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 364 0.30
Chifu Yemba ADC 220 0.18
John Magufuli CCM 31,040 25.66
Edward Lowassa CHADEMA 88,912 73.49
Hashim Spunda CHAUMA 320 0.26
Janken Kasambala NRA 43 0.04
Macmillan Lyimo TLP 51 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 28 0.02
156. Jimbo la Mbarali, Mbeya
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 1,169 1.13
Chifu Yemba ADC 354 0.34
John Magufuli CCM 55,933 54.11
Edward Lowassa CHADEMA 45,374 43.89
Hashim Spunda CHAUMA 343 0.33
Janken Kasambala NRA 107 0.10
Macmillan Lyimo TLP 56 0.05
Fahmi Dovutwa UPDP 36 0.03
155. Jimbo la Nyamagana, Mwanza
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 447 0.25
Chifu Yemba ADC 157 0.09
Edward Lowassa CCM 99,890 55.76
John Magufuli CHADEMA 78,329 43.73
Hashim Spunda CHAUMA 259 0.14
Janken Kasambala NRA 18 0.01
Macmillan Lyimo TLP 18 0.01
Fahmi Dovutwa UPDP 17 0.01
154. Jimbo la Bagamoyo, Pwani
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 350 0.75
Chifu Yemba ADC 121 0.26
John Magufuli CCM 29,969 63.98
Edward Lowassa CHADEMA 16,245 34.68
Hashim Spunda CHAUMA 88 0.19
Janken Kasambala NRA 25 0.05
Macmillan Lyimo TLP 21 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 23 0.05
Image copyright Other
Image caption Majimbo ambayo matokeo yake yametangazwa na yale hayajatangazwa
153. Jimbo la Bahi, Dodoma
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 488 0.77
Chifu Yemba ADC 241 0.38
John Magufuli CCM 51,138 80.61
Edward Lowassa CHADEMA 11,340 17.87
Hashim Spunda CHAUMA 113 0.18
Janken Kasambala NRA 31 0.05
Macmillan Lyimo TLP 49 0.08
Fahmi Dovutwa UPDP 42 0.07
152. Jimbo la Bukoba Mjini, Kagera
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 92 0.17
Chifu Yemba ADC 28 0.05
John Magufuli CCM 27,620 51.42
Edward Lowassa CHADEMA 25,898 48.22
Hashim Spunda CHAUMA 54 0.10
Janken Kasambala NRA 3 0.01
Macmillan Lyimo TLP 8 0.01
Fahmi Dovutwa UPDP 7 0.01
151. Jimbo la Bukombe, Geita
Jina Chama Kura Asilimia
Anna Mghwira ACT 487 0.62
Chifu Yemba ADC 232 0.29
John Magufuli CCM 50,063 63.26
Edward Lowassa CHADEMA 28,106 35.52
Hashim Spunda CHAUMA 165 0.21
Janken Kasambala NRA 22 0.03
Macmillan Lyimo TLP 34 0.04
Fahmi Dovutwa UPDP 26 0.03
Haya ni maendelezo ya matokeo ya uchaguzi mkuu Tanzania kadiri yanavyopokelewa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania.
Kwa matokeo ya majimbo zaidi, bofya Matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania yanavyopokelewa

»

Uchumi Supermaket warejesha wafanyakazi 180 nyumbani, wafunga maduka

0 MAONITumewataka wafanyakazi wetu waende likizo kwa siku 21 wakati tunaendelea kusubiria mawasiliano (muongozo) kutoka makao makuu mjini Nairobi,” Meneja huyo alikaririwa akieleza kabla ya kuthibitisha rasmi matawi hayo kufungwa


Na Bloger wa DIRA MAKINI

MADUKA makubwa ya Uchumi Supermarket yamerejesha wafanyakazi wake zaidi ya 180 nyumbani baada ya kufunga matawi yake mawili eneo la Kabalagala na Nateete, Kampala nchini Uganda.
 
Tawi la Uchumi Supermaket Kabalagala, Kampala nchini Uganda likiwa limefungwa tangu wiki iliyopita. Picha na DM

Uchumi ni mtandao wa maduka makubwa yaliyosambaa nchini Kenya, Uganda na Tanzania ambayo kwa sasa inaelezwa yanakabiliwa na ushindani, wizi na madeni mengi.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la nchini Uganda, lilimkariri Meneja Mkuu, Gichamba Chege ambaye anasimamia maduka hayo nchini Uganda akisema, wameamua kuwapa likizo ya lazima wafanyakazi wa matawi hao mawili huku wakisubiria muongozo zaidi kutoka makao makuu mjini Nairobi, Kenya.

“Tumewataka wafanyakazi wetu waende likizo kwa siku 21 wakati tunaendelea kusubiria mawasiliano (muongozo) kutoka makao makuu mjini Nairobi,” Meneja huyo alikaririwa akieleza kabla ya kuthibitisha rasmi matawi hayo kufungwa.

Gazeti hilo lilibainisha kuwa, matawi hayo mawili yalifungwa rasmi siku za Jumapili iliyopita na Jumatatu ya wiki hii kutokana na changamoto mbalimbali.

Miongoni mwa changamoto zilizochangia tawi la Kabalagala kufungwa ni pamoja na deni kubwa la umeme ambalo inadaiwa na Shirika la Umeme nchini humo la sh. milioni 70 za Uganda kwa ajili ya bili.

Mmoja wa wafanyakazi aliyezungumza na Daily Monitor kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini alidai kuwa, wamepewa likizo ambayo haina malipo huku wakiwa wanadai mishahara yao ya mwezi uliopita.

Hata hivyo, Chege alibainisha kuwa watawasiliana na wakuu wao mjini Nairobi ili wajue la kufanya,” tutajadiliana nao ili wafanyakazi hao waweze kurejea kazini baada ya siku 21,” alikaririwa Meneja huyo.

Aidha, gazeti hilo lilifafanua kuwa hali katika uendeshaji wa maduka hayo ni tete kwani hata Meneja Mkazi wa Uchumi Supermarket nchini Uganda, David Mugo amekuwa nje ya nchi kwa zaidi ya miezi miwili sasa bila taarifa.
Kwa mujibu wa gazeti hilo, Uchumi Supermarkets ambayo ina matawi zaidi ya sita nchini Uganda, tayari wamefunga matawi matatu kutokana na matokeo mabaya ya kibiashara ukiwemo ushindani mkali.

Licha ya matawi hayo mawili, tawi lingine lilifungwa mwaka jana, tawi la Uchumi Supermarket la Freedom City kwa madai halikuwa na faida, kwani lilikuwa lipo katika eneo ambalo si nzuri.

Pia mwezi  Juni, kwa mujibu wa gazeti hilo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Jonathan Ciano alitimuliwa kazi, kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka ukiwemo upotevu wa mali na wizi.

Aidha, katika hatua za haraka ambazo zimedhamiria kuyanusuru maduka hayo, Kampuni ya Hipora Business Solutions East Africa ambayo inahusika na mambo ya kichunguzi imepewa jukumu la kuchunguza upotevu wa mali na wizi ambao unachangia uzoroteshaji wa biashara.

Uchunguzi huo, kwa mujibu wa kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Maduka ya Uchumi, Owino Ayondo utafanyika katika matawi zaidi ya 37 yaliyopo Afrika Mashariki

Maduka hayo yanakabiliwa na changamoto kubwa ya usambazaji wa bidhaa ambao umechangia deni linalokadiriwa kufikia zaidi ya sh. bilioni 33 katika matawi yake.

Uchumi Suparmarket ambao ni mtandao wa maduka makubwa Afrika Mashariki uliasisiwa nchini Kenya mwaka 1975 ambapo uliorodheshwa katika Soko la Hisa la Nairobi mwaka 1992.

Hata hivyo, kutokana na maduka hayo kupitia katika kipindi kigumu cha uendeshaji yalifungwa kwa muda mwezi Juni 2006, baada ya miaka 30 ya biashara.
Aidha, kufungwa kwake kulisababisha msukosuko mkubwa katika biashara zenye ushawishi mkubwa nchini Kenya, ndipo baadaye serikali ilianzisha mpango wa kuiokoa ambapo vituo kadhaa vilifunguliwa tena Julai 15, 2006 vyote vikiwa mjini Nairobi.

Tafiti zinaonesha, Uchumi Supermarket ambayo inaajiri maelfu ya wafanyakazi katika nchi za Kenya, Uganda na Tanzania wanakabiliawa na msukosuko mkubwa wa uendeshaji wa maduka hayo, licha ya mikakati ya kutaka kupanua huduma nchi zingine.

3THIRD

Nyamanoro wahaidiwa maendeleo endelevu

Na Judith Ferdinand, Mwanza
MGOMBEA udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela mkoani hapa, Maganiko Ngaka ameahidi  maendeleo ya kata hiyo  endapo atashinda katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa kwa Baba Mgara Mtaa wa  Kilimahewa katani hapo.
Maganiko alisema, wananchi hawatafanya makosa kwa kumchagua, kwani  anajiamini, uwezo wa kusimamia na kuyasemea matatizo ya wananchi anao.
Alisema, atahakikisha wakazi wa Nyamanoro wanajengewa soko, kwa ajili ya akina mama kufanyabiashara katika mazingira salama.
Pia alisema, atahakikisha na kusimamia kata hiyo, inapata zahanati kwa ajili ya kurahisisha matibabu na kupunguza vifo vya mama na mtoto, ikizingatiwa jografia ya maeneo mengi ya kata hiyo ni mlima. 
Pia aliongeza kuwa,  atafuatilia na kuhakikisha kinajengwa kituo cha polisi licha ya kuwa ni mpango wa miaka mingi, lakini viongozi walio pita walishindwa kutekeleza. 
Hata hivyo alisema,  suala la ajira kwa vijana atalipatia  ufumbuzi kwa kupatiwa elimu ya ujasiriamali  sambamba na kuwawezesha kifedha kutoka serikalini na  wadau mbalimbali.
Aidha alisema,  atasimamia na kutekeleza ilani ya chama hicho, kwa kushirikiana na wananchi kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili, ikiwemo   maji,miundombinu, elimu na michezo, ikiwa ni njia ya kuleta maendeleo ndani ya kata hiyo.ANCHOR
Serikali yajivunia ujenzi wa barabara
Eunice laurian na Aisha Amran

WIZARA ya Ujenzi imeeleza  mafanikio katika ujenzi wa barabara kwa kipindi cha miaka 10 ambapo zaidi ya kilomita 5,000 zimejengwa kwa kiwango cha lami.

Akizungumza na waandishi wa habari juzi jijini Dar es Salaam Mkurungezi wa Barabara, Mhandisi Ven Ndyamukama alisema barabara zenye urefu kilomita 17,762 zimekuwa katika hatua mbalimbali za utekelezaji, ambapo barabara zenye urefu wa kilomita 3,873 zinaendelea kujengwa kwa kiwango cha lami.

Aliongezea kuwa, barabara zenye urefu wa jumla ya kilomita 4,965 zimefanyiwa upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kwa gharama ya sh. bilioni 29.257 na serikali inatafuta fedha za kuzijenga kwa kiwango cha lami.

Ndyamukama alisema, pia madaraja 12 yamekamilika kujengwa ikiwemo Rusumo(Kagera),Umoja (Mtwara),Kikwete(Kigoma) na daraja la waenda kwa miguu la Mabati(Mwanza).

Pia alisema, zaidi ya madaraja madogo madogo 7,200 yamejengwa na kukamilika.

Alisema, Serikali imefanya jitihada kubwa za kuboresha barabara zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini na nchi za jirani za Kenya,Uganda, Burundi na Zambia kwa barabara za lami na inaendelea na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kuunganisha Tanzania na Msumbiji kupitia Daraja la Umoja na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC).

Alisema, ukanda wa barabara kuu ya Kaskazini unaojumuisha barabara yenye urefu wa kilomita 1,069 kuanzia Iringa-Babati na Arusha inawezesha kukuza shughuli za kilimo, madini na utalii.

Alisema, hii ni sehemu ya barabara ya kihistoria  inayounganisha Jiji la Cairo nchini Misri hadi Cape Town nchini Afrika ya Kusini.

Aliongeza kuwa, Ukanda wa Magharibi unaojumuisha barabara yenye urefu wa kilomita 1,286 kuanzia Tunduma-Sumbawanga na Kigoma ni muhimu kwa shughuli za uvuvi, na uchakataji wa dhahabu barabara kwani ni kiungo muhimu kati ya nchi yetu na nchi za Afrika Mashariki.

Aliwasisitiza wananchi kuendelea kutumia na kulinda miundombinu ya barabara kwa manufaa ya jamii na taifa kwa ujumla na kuweza kukuza shughuli za uzalishaji wa biashara na utalii nchini.

»

Ghana’s leader talks democracy, corruption

0 MAONI

PARIS, Ghana's President John Dramani Mahama is in Paris as Ghana becomes the 50th member of the OECD's development centre. 

He spoke to FRANCE 24’s Georja Calvin-Smith.

The Ghanaian president welcomed the recent return to civilian rule in Burkina Faso, which was encouraged by the West African bloc ECOWAS. Mahama was chair of ECOWAS before handing over to Senegal's Macky Sall. "What happened in Burkina Faso is a sign of hope that Africa has changed," Mahama said. "It’s a success of democracy in West Africa".

President Mahama also reacted to the suspension of seven high court judges in Ghana over bribery allegations. "It is a reflection of institutional weakness that we need to work on and make sure we have stronger institutions," he admitted. 

However, he added that he sees these suspensions as showing "the robustness of our system".

»

HAYA NDIYO MADHARA YA KULA VYAKULA VYA KUTENGENEZA KUPITIA GMO

0 MAONI
MziziMkavu's Avatar
JF Senior Expert Member Array
 
By Bloger wa Dira Makini
 
WADAU bila shaka kila mmoja ana hamu ya kujua ni yapi madhara ya vyakula vinavyotengenezwa na wataalam kwa ajili ya matumizi ya binadamu.
 
Haya hapa ni baadhi ya madahara yatokanayo na ulaji wa vyakula hivyo, hivyo ni vema ukayasoma ili ujue ni namna gani ya kujikinga nayo.
 
6 Negative Side Affects To Eating Genetically Modified Foods

Genetically modified organisms also known as (GMO’s) can be found in as many as 60-70% of the foods in the US.
As we have written about in the past dangers of GMO’s, a genetically modified organism according to The Non-GMO Project are organisms that have been created through the gene-splicing techniques of biotechnology (also called genetic engineering, or GE).
This relatively new science allows DNA from one species to be injected into another species in a lab, creating combination’s of plant, animal, bacteria, and viral genes that do not occur in nature or through traditional crossbreeding methods. The use of genetically modified organisms in foods was recently banned in Europe, but the US isn’t to that point yet due to the highly political nature of what is keeping GMO’s on the market and in our food.
Here are six of the dangers that have been discovered by consuming genetically modified foods


1. Food Allergy Symptoms Increase Dramatically
According to scientific research, it has been shown that those who eat genetically modified foods tend to see an increase in their allergic reactions to the types of foods they are already allergic too. By eating these genitically modified foods people also form allergies to foods which they were never allergic to before.


2. Bodily Toxicity Increases


As individuals ingest more and more genetically modified foods and organisms into their body it has been shown that the bodies toxicity increases which leads to a ton of other potentially serious health problems. As stated by NaturalNews.com it has been shown that there is a definite link between Obesity, Cancer and Toxicity.

3. Negative Reproductive Effects


In lab tests done on animals there were cases where once the animals ingested genetically modified food they became completely sterile in a matter of weeks. What was interesting in fact was that in some cases these animals were force fed the food because they didn’t want to eat it themselves naturally.

4. Negative Effects To Digestive System


They are finding that GMO’s are a breeding ground for bacteria and virus’s and since the digestive system is where the body is exposed when ingesting these harmful foods, reversing the damaging effects of these foods is nearly impossible. In other cases on mice and rats, there is documented proof that the digestive system grows bigger for some strange reason.

5. Unknown Genetic Effects On Humans


The jury is still out on all of the known causes about how Genetically Modified Organisms will negatively affect the greater human race, so it would be best to avoid them at all costs knowing the long term health risks of ingesting these foods on a regular basis.

6. Death


In some cases death has also been a challenge in working with GMO foods where rats and mice die in a matter of weeks by eating genetically modified food.
As everything adds up over time, and the more these genetically modified foods are pushed on us as Americans, knowing the dangers going in and actively speaking out against it may save more lives now and in the future.
Sources:
http://www.seedsofdeception.com/Publ...oods/index.cfm
Genetically Modified Foods Unsafe? Evidence that Links GM Foods to Allergic Responses Mounts | Global Research
http://www.seedsofdeception.com/Public/GeneticRoulette/
Top 10 Dangers of Genetically Modified Food
GMOs and Human Health
Special Note: We at Berlin Natural Bakery make our products from 100% Genuine German Spelt created from certified seed that is 100% all natural and GMO FREE. We are proud to be a part of the Non-GMO Project.

Wanachama Wenzangu Tuwe waangalifu sana na hivi Vyakula vya kutengeneza vya (GMO) vina madhara

kwa Binadamu Kiafya Wazungu wajanja sana wanatumaliza kidogo kidogo Wanatuuwa sisi wenyewe

hatujuwi na Serikali yetu haipigi vita hivi vyakula na mbegu za kuunganisha vyakula Feki tutakwisha jamani

na Maradhi ya ajabu ajabu yanayokuja kila siku.

Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name: cancer-gmo-flakes-kellogs-480x480.png 
Views: 438 
Size: 153.0 KB 
ID: 249264   Click image for larger version. 

Name: genetically-modified-organisms-gmo-gmf-9-638.jpg 
Views: 440 
Size: 85.7 KB 
ID: 249265   Click image for larger version. 

Name: GMO-food.jpg 
Views: 444 
Size: 33.8 KB 
ID: 249266   Click image for larger version. 

Name: monsanto.jpg 
Views: 445 
Size: 31.3 KB 
ID: 249267   Click image for larger version. 

Name: Negative Reproductive Effects.jpg 
Views: 441 
Size: 192.8 KB 
ID: 249268   Click image for larger version. 

Name: panya.jpg 
Views: 438 
Size: 65.7 KB 
ID: 249269  

C:JF

»